Wednesday, April 20, 2011

MH PINDA NA MAMA PINDA WALIPOTEMBELEWA NA UGENI WA WASANII

 Tukiwa nje ya mjengo

 Nikimpa mipango Mama Tunu Pinda

 JB akionyesha sura ya kutoamini

 Jamani wazee wangu mnataka nikale wapi mimi?

Nikimchekesha mama

MIMI BWANA KATIKA MASWALA YA HELA SITAKI MCHEZO KABISA

 Wewe Rich hizo pesa hakikisha unagawa sawa kwa sawa

Ray mbona uniangalii au ushakula chako nini?

 Naona sasa Rich unanitafuta nipe pesa niende zangu mimi nishachoka sasa

Mbona unazidi kushika tu unahesabu mara ngapi?

Monday, April 18, 2011

MGENI RASMI NYERERE AKIKAGUA TIMU

Nikiwa na mlinzi wangu pembeni na baadhi ya Wapambe wangu tuksubiri kukagua timu.Nikiwa nimeshikiwa pesa katika mfuko na mlinzi wangu chopa

NYERERE ANALINDWA NA BAUNSA BAADA YA PESA KUMZIDI

Unajua pesa ikizidi sana unahitajika kuwa na mlinzi wa kukulinda ndio nilivyo sasa hivi maisha yangu.Juma Chikoka ndio mlinzi wangu kwa sasa,jamani pesa hizi hizi si mchezo